Tuesday, November 23, 2010

SHANGE HUKO MOSHI UNIVERSITY TAREHE 03/12/2010

Hatimae miaka mitatu ya kusota kwa mchakato wa elimu iliyotukuka kwa wanafunzi wa chuo kikuu cha biashara na ushirika moshi watahitimu hiyo tarehe 03 12 2010 kulingana na takwimu sisizo fichika hawa ndio wahitimu wa mara ya tatu baada ya chuo hicho kuanza kutoa stashahada chini ya sua.

No comments:

Post a Comment